IKIRIRI JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 2,734 Reaction score 3,023 Mar 23, 2019 #1 Km mfuatiliaji wa mpira wa miguu utagundua askari wa ulaya wao wanaolinda usalama huwezi kuwakuta wanaangalia mpira hata km game Kali VP? Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia shida iko WAP? Sent using Jamii Forums mobile app
Km mfuatiliaji wa mpira wa miguu utagundua askari wa ulaya wao wanaolinda usalama huwezi kuwakuta wanaangalia mpira hata km game Kali VP? Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia shida iko WAP? Sent using Jamii Forums mobile app
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Mar 23, 2019 #2 Kazi ipo Siyakudumisa Nkosi Yezulu
kifusi boy JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 1,141 Reaction score 1,752 Mar 23, 2019 #3 Hata kunogesha na picha mkuu, khaaa!!! Uzi umepoaaa