Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Kwanini jeshi la polisi hamzishuhulikii daladala zinazosimana katikati ya barabara kwenye kushusha ama kupakia abiria?
Ninyi polisi mmelizika kuchua viaftano tano ndio mmeshalizika kila dalalada isimame hata sehemu zisizo salama na kusababisha foleni ambayo huleta kero kwa watumiaji wengine wa barabara.
Embu wapigeni faini, hili ni tatizo na mara nyingine husababisha ajali. Kwanini jeshi la polisi halijifunzi kwenye nchi za wenzetu wenzetu hapo tu Kenya daladala huwezi kukuta imesimamisha abiria.