Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
hii kitu hata mm inanikera kwelikweli! siku moja karibu nianguke nilisikia paaa nikajua jambazi kumbe pikipiki hovyo kabisaSalam wanajukwaa,
Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo?
Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji?
Humu njiani si wote watoto na wakijinga kama hao madereva wa pikipiki wanaofanya ujinga wao, wengine wagonjwa wa bp nasema hivi kwakuwa kero yake ni kubwa. Chukueni hatua.