GE2025 Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar (SMZ) wapiga kura ya mapema

GE2025 Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar (SMZ) wapiga kura ya mapema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakiwa kwenye foleni wakisubiri kupiga kura ya mapema katika kituo cha kupigia kura Sekondari ya Tumekuja Jimbo la Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi

Kwa mujibu wa Sheria Namba nne ya Uchaguzi yam waka 2018, imeelezwa kuwa kura ya mapema hufanyika kabla ya uchaguzi mkuu. Kura hiyo inawahusu watendaji wote wanaoshughulika na uchaguzi, walinzi na wasimamizi wa siku ya uchaguzi, ili waweze kutimiza majukumu yao bila changamoto zozote

1761653341878.png





Chanzo: Mwananchi_official & DW
 
Back
Top Bottom