Askari wa wanyamapori wanaona mifugo ila majangili hawaoni

Askari wa wanyamapori wanaona mifugo ila majangili hawaoni

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Inasikitisha kuona nyara za serilkali zinakamatwa ikiwa tayari zimevunwa, iki maanisha wanyama wameshauwawa nyama, ngozi na pembe zao kunyofolewa.

Najiuliza, ng'ombe wa wafugaji wanaingia porini kimyakimya lakini wanawasikia na kukamata, majangili wanaingia kwa magari yenye mingurumo na kuuwa wanyama kwa risasi zenye mlio mkubwa sana tena usiku, lakini hatusikii wakikamatwa hadi nyara hizo haramu zije kamatwa na Poloisi wa kawaida.

Kulikoni?
 
Back
Top Bottom