Askari waliomsindikza Mbowe mahakamani

Askari waliomsindikza Mbowe mahakamani

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Kwa mbwembwe tu, askari wetu wako vizuri!

AC5CADFD-A8FC-4928-95E8-576771BDF5DB.jpeg


F06AF54E-5AEC-4546-A8F8-3BABCE6B9029.jpeg
 
Ilikuwa ni gari moja tu?
Wale waliotuhumiwa kwa ugaidi kipindi kile, ambao kwa sasa wameachwa huru, msafara ulikuwa na sifa ule, mbele, nyuma, masilaha, askari wamefunika uso, ilimradi tu ugaidi uonekane!

Sio mbaya lakini, utawala huu nasikia uko tofauti.
 
Gaidi lazima alindwe na jeshi kubwa mana muda wowote magaidi wenzake wanaweza kuja kumuokoa kama vile tunavoangalia movie majambazi wanavowaokoa wenzao wa faida
 
Back
Top Bottom