Kuna namba maalum kwa ajili ya magari ya usalama (polisi) n.k
Naona umerudi kama radiKuna namba maalum kwa ajili ya magari ya usalama (polisi) n.k
Siyo kila gari itaanza na T 679 KUM au T 936 UBO
Unauliza namba za nchi gani wakati unaona hapo ni Kisutu.
wanasafiri kwa kutumia gari ya mizigo?