Hio barabara inafoleni sana sikuhz sijui shida ni nini
Hakuna hata mmoja hapo wa kujitolea kama Hamza?Habarini,
Leo asubuhi foleni imekuwa kubwa sana barabara ya Ali Hassani Mwinyi.
Hivyo basi, abiria wengi wanatumia bajaji au pikipiki cha ajabu askari wanawakamata boda na bajaji kisa wametanua.
Bajaji wangu nimemkingia kifua kwamba hakuna kosa kutumia njia mbadala inaruhusiwa pale panapokuwa na foleni.
Waliopo hapo Moroco stand wamulikwe hawa askari