Askari Wetu na Watesi Wetu Mmejifunza Nini Hapa?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Nimeangalia clip zote za kijana aliyevunjwa miguu akibebwa alipo kuwa mahakamani kwenye kesi za vijana baada ya maandamamo ya 29 Oktoba.

Nimewaangalia vijana Hao wakibebana kisha nimelinganisha na askari wetu ambao wamewavunja na kuwatesa vijana Hao kwa amri za wanasiasa na viongozi wengine.

Jee wanajisikiaje kuona wamewaumiza binadamu wengine wakati maisha yao na shida zao na Familia zao yako palepale?

La ajabu na kujifunza, wananchi walijitolea kumchangia kijana aliyevunjwa miguu Pesa zaidi ya 15 milioni kwa Dada yake aendelee na masomo na hata yule aliyekuwa akimbeba kachangiwa zaidi ya 11 milioni.

Jee watesaji wameambulia nini? Hapo walipo hada Ada za watoto wao Januari hii ni mgogoro, shida mpaka wadai rushwa kwa fedheha nk.

Jamii imewapa heshima kubwa mno Hao vijana na dua njema ilihali Hao askari ni laana kwao na vizqzi vyao.

Your browser is not able to display this video.
 
Achana na askari.
Mnajisijikiaje kwa wale ambao mali zao, biashara zao ziliporwa na vibaka tarehe 29 okt?
Hao nani atawapeleka watoto wao shule? Unajua ni mitaji mingapi imeharibika?

Itoshe kusema kama huyo kavunjika basi hiyo ni win win situation maana hakuna kuoneana huruma.

Kubembelezana kumesababisha hadi taifa lionekane kuwa wahuni na vibaka wanaweza kupora pindi wanapojisikia kwa jina la maandamano!
 
Askari wengi wamejawa na roho ya kwanini na hii Ina asili na matokeo ya Div 4 (F7) secondary.. Foolish Form Four Fighting For Food For Four years
Hii ni kweli ... Most ya hawa polisi na vyombo vingine vya usalama (Tiss) huwa wanakuwa na hali kama ya inferiority complexwengi wao ... Sasa hutumia nguvu ,ubabe ,uonevu uliopitiliza kama njia ya ku battle Their inner demon of inferiority.....
 
Askari wengi wamejawa na roho ya kwanini na hii Ina asili na matokeo ya Div 4 (F7) secondary.. Foolish Form Four Fighting For Food For Four years
Hii ni kweli ... Most ya hawa polisi na vyombo vingine vya usalama (Tiss) huwa wanakuwa na hali kama ya inferiority complexwengi wao ... Sasa hutumia nguvu ,ubabe ,uonevu uliopitiliza kama njia ya ku battle Their inner demon of inferiority
 
Tarehe 30 kwa Dar waliandamana wapi?
Kwa mfano huyo anayembeba mwenzie kakamatwa mtaani anatoka kutafuta chakula tarehe 30. Alikosa chakula.
Walimkuta na biscuits tu hana silaha yeyote, kiberiti au petrol. Akiwa peke yake.
Use your brain!
 
Askari vs bunduki.
Bunduki inathamani kuliko askari. Dharau iliyoje.
 
Acha kuokoteza maneno ya mapambio ya kina Mwigulu wewe msukule!
Uharibifu umeanza rasmi baada ya mauaji ya makusudi kuanza. Ukiwasikiliza wahanga ni kuwa kichaa cha vijana kuharibu mali kilianza tu baada ya risasi za moto kutumika na vikundi vya askari na wauaji kuanza kutembeza shaba randomly.
Ona mpaka watu wameenda kupigiwa risasi majumbani kwao, hushangai?
 
Wanajua kumbe watanganyika wapo pamoja na wanawachukia kwa udhalimu waliofanya
 
Mfano mzuri, kule mwanza igoma nani aliuliwa pale stend hawa vibaka wakaingia kwenye maduka ya simu wakabeba, supermarket wakabeba, nani aliuliwa wakaanza kuchoma vile vituo vya kura?
Unajua wakati hawa vibaka wanavuruga na kupora tulikuwa tanzania, tumeshuhudia, na tupo tunashuhudia mnavyogeuza maneno kwa kuwatetea hawa vibaka ambao walistahili wafe wote ili taifa libaki salama!
 
Tarehe 30 kwa Dar waliandamana wapi?
Kwa mfano huyo anayembeba mwenzie kakamatwa mtaani anatoka kutafuta chakula tarehe 30. Alikosa chakula.
Walimkuta na biscuits tu hana silaha yeyote, kiberiti au petrol. Akiwa peke yake.
Use your brain!
Mambo kama haya tume ndo inatakiwa ijadili mauaji ya tarehe 30 na 31.
 
HAYA YOTE NI MAKOSA YA WANAHARAKATI UCHWARA

WAWEZA KUSOMA HAPA KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI NINI ?
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 20
Your browser is not able to display this video.
Mapongo wakirejea camp baada ya kufokoa Raia.... Mfano hai Kwa Kila nchi za waroho na watemi mwitu.
 
Waliopora mali wengi wamekamatwa.
Maduka yaliyovamiwa hasa ya vifaa vya elektroniki vilidakwa sana.

Manzese na baadhi ya maeneo buguruni msako ulikua nyumba kwa nyumba, vitu vingi vilirudi kwa walengwa.

Baadhi ya makampuni mwezi january serikali inawarefund hasara waliyopata.

Ila wale wafuasi wa mama ndo wamebaki na hiyo ajenda pekee ilhali kwa kiasi kikubwa ishakua solved.
 
Askari wengi wamejawa na roho ya kwanini na hii Ina asili na matokeo ya Div 4 (F7) secondary.. Foolish Form Four Fighting For Food For Four years
Na mabanda ya kuku wanayoishi, katikati wametenganisha na shuka wakidinyana watoto wao wanasikia miguno ya laana.
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…