Askari Wetu na Watesi Wetu Mmejifunza Nini Hapa?

unalinganisha UHAI wa Binadamu na MALI?
 
Wee chawa,
Hivi unaweza kuthubutu kuandika huu uvundo kwa id yako halisi?

Unaweza kulinganisha maisha ya watu na mali yoyote?

Ukute wewe ni polisiccm au mshirika wa karibu wa wauaji. Damu za waliouawa hazitaacha mhusika yeyote salama
 
Wewe ulikuwa wapi wakati huo hadi ukaweza
 
Mnajisijikiaje kwa wale ambao mali zao, biashara zao ziliporwa na vibaka tarehe 29 okt?
Hao nani atawapeleka watoto wao shule? Unajua ni mitaji mingapi imeharibika
Sasa kwa nini usiende kumuuliza Samia Suluhu Hassan aliyesababisha hayo yote; au wewe ni nguruwe tu unayefugwa na huyo huyo Samia, ukifaidi makombo ya chakula toka kwake?

Huna akili za kujuwa haya yote yalitokana na nini na nani aliyeyasababisha?
 
Hawa watu washanogewa na matendo yao ya unyama kwa walipofikia.
 
uchawa dau litakua zuri sana
 
HAYA YOTE NI MAKOSA YA WANAHARAKATI UCHWARA

WAWEZA KUSOMA HAPA KUJUA CHANZO CHA TATIZO NI NINI ?
Pamoja na kwamba wewe mpuuzi na kelele zako (maandishi makubwa ni kupiga kelele); ila huyo 100 others alikuwa mpuuzi sana wakati ule na hicho kipande. Siku hizi amepotea
 
Du,taratibu mkuu,mali zinatafutwa lakini,siku ukimpoteza babayako mama yako au mwanao mkeo utajutia hizi kauli,achana na uccm uchadema rudi kwenye ubin Adam mkuu, Allah amempa thamani bin Adam kuliko kiumbe chochote kile, wewe Leo unalinganisha na mwendo kasi, haya mali wamewalipa waliowengi, sasa arudishe roho. Allah anakusikia na kukuona.
 
Kuna mtu akiandika unabaki kujiuliza ameandika kwa kutumia akili au matako
 
1. Mlishindwa kuwapa ajira vijana, na badala yake mnapeana wenyewe hizo ajira kwa kujuana!
2. Kwa miaka zaidi ya 60 sasa wananchi wanaishi maisha ya ufukara huku nchi ikiwa na raslimali za kila aina! Kwa hali hii lazima wavamie maduka yenu na kupora mali. Mtu aliyejitosheleza hawezi kuvamia duka la mtu na kupora mali.
3.Hizo mali zilichomwa nyingi mlizipata kwa rushwa, wizi, ufisadi, uharamia, kuwauzia vijana madawa ya kulevya, nk. Kwa hiyo hao vijana walichukua kile walidhani ni cha kwao, au walichoma moto kwa sababu walitambua fika mlizipata hizo mali kupitia njia haram.
 
Baada ya kuchukua walichodhani ni chao,
Ndyo maana wakapewa furaha walioitaka, unaonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…