Shelute Mamu
Member
- Mar 17, 2009
- 37
- 1
Suala siyo utajiri - kumtumikia Mungu hakumaanishi kuwa Maskini hata kidogo. Mungu aliahidi kwamba wote wamchao Bwana atawabariki na watakuwa vichwa wala si mikia.
Cha kujiuliza hapa ni kwa waumini wenyewe wanaotoa hizo fedha kwamba wanajua wanayemtolea? Tatizo ni kwamba watu wengi hawasomi Neno la Mungu wanangojea hao Maaskofu wawachagulie mistari ya kuwasomea. Na kwa sababu wanajua wanachokifanya wanatafuta mistari yenye utisho tu (k.m. usipotoa utalaaniwa). Na watu wengi wamegundua kwamba ukiwa na uwezo wa kuwashawishi watu wakakukubali wewe umeukata,kwa sababu zaka wanazotoa hakuna mtu anayeuliza isipokuwa ni Askofu tu. AKILI NI MALI.