Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

Askofu aungana na Kakobe kutaka serikali ya Tanganyika

Huu si uungwana hata kidogo. Hivi inakuwaje ccm mukiambiwa Tanganyika munakasirika sana tatizo lenu nini? Hii ni aibu sana, ccm inakataa nchi yake kiss madaraka!!!. ccm watu wa ajabu sana. Kwahiyo Tanganyika ikirudi ccm mutahama nchi au ndo munaogopa chama kimekufa hiki.

Ikirudi Tanganyika itarudi na TANU ccm itajifia
 
Back
Top Bottom