mussa kimaro
Member
- Feb 4, 2014
- 9
- 0
Maaskofu wavuta bangi makanisani pia si wapo?
Watoto wa Interahamwe bado jawajafika kujibu mapigo.
Huu si uungwana hata kidogo. Hivi inakuwaje ccm mukiambiwa Tanganyika munakasirika sana tatizo lenu nini? Hii ni aibu sana, ccm inakataa nchi yake kiss madaraka!!!. ccm watu wa ajabu sana. Kwahiyo Tanganyika ikirudi ccm mutahama nchi au ndo munaogopa chama kimekufa hiki.
CCM hawalipendi hilo jina kama nini shauri yako!Teh teh teh!!!
Maaskofu wavuta bangi makanisani pia si wapo?