Askofu Aurelian Ngonyani aomba msamaha asema Kucheza Mpira sio Dhambi(Kosa) mbele za Mungu.

Askofu Aurelian Ngonyani aomba msamaha asema Kucheza Mpira sio Dhambi(Kosa) mbele za Mungu.

Eagle W

New Member
Joined
Oct 12, 2024
Posts
4
Reaction score
12
Wasalaamu......................................

Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa vipindi vya Wapo TV vya Askofu Gamanywa na Ngonyani sidhani kama kuna kipindi nimekosa toka wameanza Oct 7 2023.

Nakiri kabisa Askofu Ngonyani biblia anaijua hilo halina shaka (HILI SINA SHAKA NAE 100%) kuna siku alieza juu ya kwanini wana wa israeli waliambiwa wasivunje mfupa na kwanini Yesu hakuvunjwa mfupa akaeleza nikasema huyu mzee anajua aisee

sasa jumapili iliyopita ya tarehe 26 Januari 2025 alikuwa anafundisha somo la KIPAWA(nimemuelewa vizuri sana) ila sasa alipokuja kuanza kusema mambo ya kucheza mpira hapo nikasita kidogo nikaona tuangalie hivi VIPAWA vifuatavyo ambavyo havina tofauti na Mpira

Kipawa cha Ngumi-MMA fighting,WWE,boxing
Mkristo unakipawa cha kupiga ngumi, sasa naingia ulingoni nachakaza mpinzani narudi kusema asante Yesu leo umenipa ngumi nzito sana ya kupiga
Born-Again Christian akimpiga Teke la shavu agnostic
MMA.jpg


Mtu mwenye (Mungu Baba, Mwana na Roho) ndani yake akipokea Sweet Chin Music safi (Teke la shingo) matata kutoka kwa mtu asie-OKOKA
WWE.jpg


Kipawa cha Mpira, Rugby, Basketball
Rugby.jpg


Mlokole David Luiz-Uzuri Chelsea hawana kamati ya ufundi,
Sasa Mlokole na kamati ya ufundi hapo inakuaje, wakati mwingine tunaonda watu wanatengeneza uwanja kabla ya mechi
football.jpg


Askofu alisema hata hizi pia ni kipawa(Fashions) kitumie Mkristo lakini Askofu alipata ukakasi kwenye masomo ya jumamosi kukubali kwamba Uwoya ameokoka (Uwoya ni mama mchungaji anaetumia kipawa cha Fashion)

1738155280968.png


Naendelea kujifunza-Naona somo la leo la tarehe 29 Januari(Historia ya IsraeleI lina masaa 2 youtube, wacha nikaikilize
 

Attachments

  • BOXING.jpg
    BOXING.jpg
    1.3 MB · Views: 2
Naomba nifafanulie kwanini wana wa Israel wlikatazwa kuvunja mfupa na kwanini Yesu hakuvunjwa mfupa kwa maelezo ya Huyo Askofu?
 
Back
Top Bottom