Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

Nimefanya kazi kama mhadhiri wa research methodology, nimekuwa supervisor wa theses/dessertations za wanafunzi hadi ngazi ya phd. Ninao uwezo wa kutoa msaada huo. Tatizo Sumbawanga niliko kwa sasa mbali. Tuombe uzima tu.
 
Unfounded allegations? Read again
 
Nimefanya kazi kama mhadhiri wa research methodology, nimekuwa supervisor wa theses/dessertations za wanafunzi hadi ngazi ya phd. Ninao uwezo wa kutoa msaada huo. Tatizo Sumbawanga niliko kwa sasa mbali. Tuombe uzima tu.
Nawapongeza na kuwashukuru sana wasomi mnavyochambua mambo na kujenga hoja.

Nawaomba mfikirie kutenga muda wenu kuweka makala za kutusaidia sisi tulio pembezoni.
Mfano:
*Ujasiriamali,
*Ufugaji na kilimo,
*Kupunguza watu kujiua/kujinyonga na kuua wenzao.
*Namna ya kupunguza migogoro ya jamii, ya ndoa,
Teknolojia rahisi kurahisisha maisha nk.
 
Huwa naandika kuhusu haki za binadamu, ambazo ni kama duara lenye sekta kumi zinazokamilishana. Kuna haki za:

1. Kiuchumi
2. Kisiasa
3. Makundi ya kijamii
4. Kielimu
5. Kiafya
6. Kisaikolojia
7. Kijinsia
8. Kiutamaduni
9. Kidini
10. Kimazingira


Safari hii nimetafiti kuhusu haki za kijinsia na kidini. Siku zingine hutafiti haki katika sekta baki, kulingana na changamoto za wakati husika. Kila jambo lina wakati wake.

Lakini pia, watafiti wengine wanaweza kuandika kuhusu sekta baki, na hatimaye kitu kizima cha maarifa kikatimia.

Kubwa:

Ukitaka kupata haki ya kuchagua wimbo beba jukumu la kumlipa mpiga zumari.
 
Asante sana.
 
Nimefanya kazi kama mhadhiri wa research methodology, nimekuwa supervisor wa theses/dessertations za wanafunzi hadi ngazi ya phd. Ninao uwezo wa kutoa msaada huo. Tatizo Sumbawanga niliko kwa sasa mbali. Tuombe uzima tu.
Nimekuelewa mama amoni , nashukuru pia , japo binafsi sidhani kama umbali wa kijiographia unaweza kuzuia mimi kuelimishwa kuhusu utafiti na uandishi wa matokeo ya utafiti .

Kwa heshima na Taadhima ,nakuomba mkuu mama amoni ,ufikirie njia unayoweza kunisaidia . Tafadhari mama amoni !
 
Baba amon nae aware anaangalia wanawake wa kuzaa nao
 
Sina hakika kama makala hii ndefu inamlenga Tundu Lissu kama binadamu tu au inamlenga kama binadamu lakini pia kama mwanasiasa mpinzani mahiri wa CCM.

Mimi nina kidole cha pili (SHAHADA) ambacho urefu wake unalingana na urefu wa kidole cha tatu (CHA PETE). Vidole vinavyobaki ni GUMBA na CHA KATI. Sina hisia zozote zile za ushoga kwa sababu ya sifa za urefu wa vidole vyangu hivi yaani SHAHADA na CHA PETE. Kwa maana hiyo bandiko lako ni hadithi tamu isiyokuwa na ukweli wowote. Ni sawa na zile hadithi (au historia) kuwa binadamu alitokana na NYANI. Tunaosubiri nyani wengine watokee msituni wabadilike wawe binadamu badala ya binadamu kuzaliana na kuongezeka kutokana na kazi ya uumbaji wa Mwenyezi Mungu tutasubiri sana.

Labda ulete hadithi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…