Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Huyu ni Askofu Bagonza, Msomi wa PhD , anawauliza hao Wafuga Ndevu zinazopakwa Brichi, Wanaohusudu Ngono na kupitisha visheria Uchwara vya kuoa watoto wa miaka 10 , Watu wenye Elimu za Darasa la Saba , anawauliza, Kwa miaka 60 ambayo Tanzania imeitwa Kisiwa Cha Amani, je HAKI ILIKUJA??.
Kwa Miaka 60 ya Amani, je wanahitaji miaka Mingapi ya Amani ili watupe Haki??.
Kwa Miaka 60 ya Amani, je wanahitaji miaka Mingapi ya Amani ili watupe Haki??.