Askofu Bagonza: Hakuna mamlaka inayogombana na dini na kuishinda

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Askofu Bagonza amesema kuwa kuna mambo mawili magumu siku kugombana nayo siku hizi, kama uwezo wa kuepuka ugomvi wa hayo mambo mawili, yaepuke kwani huwezi kuyashinda

Amesema ugomvi wa kwanza ni kugombana na Gen Z, sisi tuna bahati gen z wetu washamba washamba bado wamelala, ila haina maana watabaki wamelala, wataamka wakati wowote.

Kundi la pili ambalo ameonya kugombana nalo ni dini, ambapo ameongeza hakuna mamlaka ya kushinda na dini na kuishinda

Akiongoza Ibada ya shukrani ya miaka 20 ya Mchungaji Aniceth Maganya katika Usharika Mteule wa Nyaishozi, Askofu Bagonza amesisitiza kuwa " Hakuna bomu, hakuna risasi, hakuna fedha, hakuna mamlaka yenye uwezo wa kugombana na dini na kuishinda"

Hakuna sheria inayoweza kufuta dini kwenye mioyo ya watu, wakomunisti walijidanganya wakafuta wakasema hakuna Mungu wakatangaza kifo cha Mungu ameshakufa, nenda Urusi, China makanisa yameshamiri.

Rasilimali tunazozitumia kupambana na dini, tungezihifadhi zifanye kazi nyingine.

Vipi kuhusu pande la dini lenye hila na chuki (ya kidini) na ajenda iliyojificha (kumsumbua na kumharibia kwa makusudi asiye wao (upendeleo) likianzisha ugomvi na mamlaka litafahikiwa?!!!!!
 
Askofu Bagonza amesema kuwa kuna mambo mawili magumu siku kugombana nayo siku hizi, kama uwezo wa kuepuka ugomvi wa hayo mambo mawili, yaepuke kwani huwezi kuyashinda.

Amesema ugomvi wa kwanza ni kugombana na Gen Z, sisi tuna bahati gen z wetu washamba washamba bado wamelala, ila haina maana watabaki wamelala, wataamka wakati wowote.

Kundi la pili ambalo ameonya kugombana nalo ni dini, ambapo ameongeza hakuna mamlaka ya kushinda na dini na kuishinda.

Hakuna sheria inayoweza kufuta dini kwenye mioyo ya watu, wakomunisti walijidanganya wakafuta wakasema hakuna Mungu wakatangaza kifo cha Mungu ameshakufa, nenda Urusi, China makanisa yameshamiri.

Rasilimali tunazozitumia kupambana na dini, tungezihifadhi zifanye kazi nyingine.

Avue joho aingie siasa mazima.
 
A word
 
Askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheri KKT, Dayosisi ya Karagwe askofu Benson Bagonza, ametoa kauli kuhusu ugomvi na ushindani wa mamlaka na sheria dhidi ya dini

Akiongoza Ibada ya shukrani ya miaka 20 ya Mchungaji Aniceth Maganya katika Usharika Mteule wa Nyaishozi, Askofu Bagonza amesisitiza kuwa " Hakuna bomu, hakuna risasi, hakuna fedha, hakuna mamlaka yenye uwezo wa kugombana na dini na kuishinda"

mheshimiwa Bagonza, kumbuka pia Iran Yemen Gaza ziko vitani kwa ajili ya hizi imani za kidini, wayahudi wangesalia ujerumani itally Uk pasingekuwa na taifa la Israel, na vita hivi visingekuwepo, wapalestina na wayahudi wasingetofautiana ki imani wangekuwa wanaishi kwa amani
 
Falsafa za bagonza hazijibiwi ukiwa unatoka chooni, lazima uwe unatoka Makataba kufanya research ndio umjibu, ile ni namba nyingine msikurupuke kumjibu. Make sure kwamba kama ni asubuhu hakikisha kifungua kinywa kimetendewa haki
 
Back
Top Bottom