McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo.
Amesema hakuna dhambi wanaikemea ambayo haitendwi ndani ya kanisa hilo, akihoji kama haipo itajwe.
Mwananchi imemtafuta Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa ambaye ndiye msemaji wa kanisa hilo kuzungumzia kauli hiyo lakini simu yake haikuwa ikipatikana.
Askofu Bagonza ametoa kauli hiyo katika ibada ya ubarikio wa wachungaji Dayosisi ya Karagwe Usharika wa Lukajange- Kanisa Kuu leo Desemba 21, 2025
"Hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo. Hakuna dhambi tunayoikemea ndani ya kanisa ambayo hatuitendi wenyewe ndani ya kanisa, haipo, ipi itaje, unataka kuniambia hakuna rushwa ndani ya kanisa, nyie hamsubiri kupokea rushwa mnadokoa hadi sadaka,”amesema