Askofu Bagonza: Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba

Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa

Chanzo: Jambo TV
 
Blaah blaah ataitwa akapewa chake hutamskia tena zaidi ya kusema huyu tuliyenae ni chaguo la mungo.
Tunabaki uongoo huo uongoo aah uongooo huo.
 
Katiba Mpya ni muhimu sana ipatikane, na umuhimu wake sasa unazidi kuonekana kila siku.

Mpaka haya makundi ya wahafidhina yaliyoibuka kila upande, nayo yataondoshwa automatically kwa uwepo wa Katiba Mpya.

Kwasababu uwepo wa hayo makundi, umesababishwa na mawazo mgando waliyonayo hao wanavikundi yaliyosababishwa na uwepo wa hii katiba mbovu iliyopo.

Ndio maana sasa kundi moja la wahafidhina wanajikuta ni watumwa wa kuvunja sheria, na kundi lingine linaamua kujichukulia sheria mkononi ili kwenda nao sawa, hawataki tena mazungumzo.

FqsVdVaWIAAapSB.jpg
FqtCSZoXwAAiYYk.jpg
 
Watz walipitia kipindi kibaya sana Samia ameletwa na Mungu kuja kuponya majereha .Mh Samia ubarikiwe sana kwani approach yako dhidi ya ustawi wa watz iko vizuri
 
Katiba Mpya ni muhimu sana ipatikane, na umuhimu wake sasa unazidi kuonekana kila siku.

Mpaka haya makundi ya wahafidhina yaliyoibuka kila upande, nayo yataondoshwa automatically kwa uwepo wa Katiba Mpya.

Kwasababu uwepo wa hayo makundi, umesababishwa na mawazo mgando waliyonayo hao wanavikundi yaliyosababishwa na uwepo wa hii katiba mbovu iliyopo.

Ndio maana sasa kundi moja la wahafidhina wanajikuta ni watumwa wa kuvunja sheria, na kundi lingine linaamua kujichukulia sheria mkononi ili kwenda nao sawa, hawataki tena mazungumzo.View attachment 2543861View attachment 2543862
Super Mwamba
 
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba

Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa

Source Jambo TV
Kuna mipumbavu iko CCM haifadiki chochote na katiba ya 1977, lakini haitaki katiba mpya
 
Katiba Mpya ni muhimu sana ipatikane, na umuhimu wake sasa unazidi kuonekana kila siku.

Mpaka haya makundi ya wahafidhina yaliyoibuka kila upande, nayo yataondoshwa automatically kwa uwepo wa Katiba Mpya.

Kwasababu uwepo wa hayo makundi, umesababishwa na mawazo mgando waliyonayo hao wanavikundi yaliyosababishwa na uwepo wa hii katiba mbovu iliyopo.

Ndio maana sasa kundi moja la wahafidhina wanajikuta ni watumwa wa kuvunja sheria, na kundi lingine linaamua kujichukulia sheria mkononi ili kwenda nao sawa, hawataki tena mazungumzo.View attachment 2543861View attachment 2543862
Hapa natatizwa kidogo, KATIBA MPYA, je haitakuwa na mapungufu .... --- in a long run, KATIBA inaweza kudumu muda tu tukaona tena haifai. Je hii KATIBA tuliyonayo yote ni mbovu haifai? Au kama ni kweli baadhi ya vipengele havifai vimepitwa na wakati kwa nini tusifanye Amendments? First, Second, Third -------- tutakavyo. KATIBA mpya ni kama vile nchi inaanza upyaaa!
 
Pana ka ukweli --- taasisi imara na sio mwamba mmoja ..... changamoto yetu tumekuwa watu wa njaa njaaa ... janja janjaaa na kupenda kujichumiaa wenyewe >>> ubinafsi ndo uchawi wetu
 
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba

Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa

Source Jambo TV
Na ndilo analoliimba Mbowe kila siku! Kuwa tuwe na mahakaa huru, polisi huru, DPP huru , bunge huru, executive "huru" and the like!
 
Hapa natatizwa kidogo, KATIBA MPYA, je haitakuwa na mapungufu .... --- in a long run, KATIBA inaweza kudumu muda tu tukaona tena haifai. Je hii KATIBA tuliyonayo yote ni mbovu haifai? Au kama ni kweli baadhi ya vipengele havifai vimepitwa na wakati kwa nini tusifanye Amendments? First, Second, Third -------- tutakavyo. KATIBA mpya ni kama vile nchi inaanza upyaaa!
Tuta review kwani kuna shida gani? Ya sasa imekaa kiudhibiti mno kuliko kutoa incentives
 
Bado najiuliza sijui baba askofu atagombea jimbo gani huko kagera ✌️🤔. Maana anaongea zaidi kuhusu siasa kuliko hata Neno !!
 
Hapa natatizwa kidogo, KATIBA MPYA, je haitakuwa na mapungufu .... --- in a long run, KATIBA inaweza kudumu muda tu tukaona tena haifai. Je hii KATIBA tuliyonayo yote ni mbovu haifai? Au kama ni kweli baadhi ya vipengele havifai vimepitwa na wakati kwa nini tusifanye Amendments? First, Second, Third -------- tutakavyo. KATIBA mpya ni kama vile nchi inaanza upyaaa!
Katiba iliyopo ina viraka sana, hakuna sababu ya kuanza kutoa kiraka kimoja na kuweka kingine, hiyo kama ni nguo imeshachoka haifai kuvaliwa.

Katiba Mpya haiwezi kuwa tunaanza moja, maisha yataendelea kama kawaida, tofauti itakayokuwepo itakuwa ni mabadiliko ya sheria zitakazotuongoza.

Pia, hata ikipatikana Katiba Mpya, bado itafanyiwa mabadiliko, ndio maana kuna amendent za Katiba, lazima mambo yabadilike kuendana na wakati, hakuna Katiba itakayokuja kujitosheleza kwa kila kitu kwa wakati wote.
 
Back
Top Bottom