johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kama hakuna Katiba itakayojitosheleza kwa Wakati Wote Ndio anasema tuendelee kurekebisha tu hii iliyopo!Katiba iliyopo ina viraka sana, hakuna sababu ya kuanza kutoa kiraka kimoja na kuweka kingine, hiyo kama ni nguo imeshachoka haifai kuvaliwa.
Katiba Mpya haiwezi kuwa tunaanza moja, maisha yataendelea kama kawaida, tofauti itakayokuwepo itakuwa ni mabadiliko ya sheria zitakazotuongoza.
Pia, hata ikipatikana Katiba Mpya, bado itafanyiwa mabadiliko, ndio maana kuna amendent za Katiba, lazima mambo yabadilike kuendana na wakati, hakuna Katiba itakayokuja kujitosheleza kwa kila kitu kwa wakati wote.