johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Super MwambaKatiba Mpya ni muhimu sana ipatikane, na umuhimu wake sasa unazidi kuonekana kila siku.
Mpaka haya makundi ya wahafidhina yaliyoibuka kila upande, nayo yataondoshwa automatically kwa uwepo wa Katiba Mpya.
Kwasababu uwepo wa hayo makundi, umesababishwa na mawazo mgando waliyonayo hao wanavikundi yaliyosababishwa na uwepo wa hii katiba mbovu iliyopo.
Ndio maana sasa kundi moja la wahafidhina wanajikuta ni watumwa wa kuvunja sheria, na kundi lingine linaamua kujichukulia sheria mkononi ili kwenda nao sawa, hawataki tena mazungumzo.View attachment 2543861View attachment 2543862
Super Mwamba
Kuna mipumbavu iko CCM haifadiki chochote na katiba ya 1977, lakini haitaki katiba mpyaAskofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba
Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa
Source Jambo TV
Hapa natatizwa kidogo, KATIBA MPYA, je haitakuwa na mapungufu .... --- in a long run, KATIBA inaweza kudumu muda tu tukaona tena haifai. Je hii KATIBA tuliyonayo yote ni mbovu haifai? Au kama ni kweli baadhi ya vipengele havifai vimepitwa na wakati kwa nini tusifanye Amendments? First, Second, Third -------- tutakavyo. KATIBA mpya ni kama vile nchi inaanza upyaaa!Katiba Mpya ni muhimu sana ipatikane, na umuhimu wake sasa unazidi kuonekana kila siku.
Mpaka haya makundi ya wahafidhina yaliyoibuka kila upande, nayo yataondoshwa automatically kwa uwepo wa Katiba Mpya.
Kwasababu uwepo wa hayo makundi, umesababishwa na mawazo mgando waliyonayo hao wanavikundi yaliyosababishwa na uwepo wa hii katiba mbovu iliyopo.
Ndio maana sasa kundi moja la wahafidhina wanajikuta ni watumwa wa kuvunja sheria, na kundi lingine linaamua kujichukulia sheria mkononi ili kwenda nao sawa, hawataki tena mazungumzo.View attachment 2543861View attachment 2543862
Kibaya zaidi, ccm wameshaweka msimamo kuwa serikali zitaendelea kuwa 2.Kuna mipumbavu iko CCM haifadiki chochote na katiba ya 1977, lakini haitaki katiba mpya
Na ndilo analoliimba Mbowe kila siku! Kuwa tuwe na mahakaa huru, polisi huru, DPP huru , bunge huru, executive "huru" and the like!Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba
Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa
Source Jambo TV
Hapo Ndio penye ugumu!Kibaya zaidi, ccm wameshaweka msimamo kuwa serikali zitaendelea kuwa 2.
Mahakama huru asingechomoka ile kesi ya bin laden!Na ndilo analoliimba Mbowe kila siku! Kuwa tuwe na mahakaa huru, polisi huru, DPP huru , bunge huru, executive "huru" and the like!
Tuta review kwani kuna shida gani? Ya sasa imekaa kiudhibiti mno kuliko kutoa incentivesHapa natatizwa kidogo, KATIBA MPYA, je haitakuwa na mapungufu .... --- in a long run, KATIBA inaweza kudumu muda tu tukaona tena haifai. Je hii KATIBA tuliyonayo yote ni mbovu haifai? Au kama ni kweli baadhi ya vipengele havifai vimepitwa na wakati kwa nini tusifanye Amendments? First, Second, Third -------- tutakavyo. KATIBA mpya ni kama vile nchi inaanza upyaaa!
Kumbe wewe ni illiterate! of law to be specific anyway!Mahakama huru asingechomoka ile kesi ya bin laden!
Hadi Naniliu akapandishwa Cheo!Kumbe wewe ni illiterate! of law to be specific anyway!
Katiba iliyopo ina viraka sana, hakuna sababu ya kuanza kutoa kiraka kimoja na kuweka kingine, hiyo kama ni nguo imeshachoka haifai kuvaliwa.Hapa natatizwa kidogo, KATIBA MPYA, je haitakuwa na mapungufu .... --- in a long run, KATIBA inaweza kudumu muda tu tukaona tena haifai. Je hii KATIBA tuliyonayo yote ni mbovu haifai? Au kama ni kweli baadhi ya vipengele havifai vimepitwa na wakati kwa nini tusifanye Amendments? First, Second, Third -------- tutakavyo. KATIBA mpya ni kama vile nchi inaanza upyaaa!