PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuazimisha tukiwa tuko Chumbani huku mtaani wakiwa wamemwagwa Askari bado hatuko huru

PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuazimisha tukiwa tuko Chumbani huku mtaani wakiwa wamemwagwa Askari bado hatuko huru

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema “Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda watumishi wetu (viongozi) kuupunguza uhuru wetu kwa kisingizio chochote”. Bagonza amebainisha hayo Desemba 9, 2025 kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook, ikiwa Tanzania Bara inaadhimisha miaka 64 ya uhuru.
 
Back
Top Bottom