Askofu Bagonza: Kwa wema au ubaya, tusimsahau Magufuli

Nchi hii siku machawa wakiondoshwa, tutaanza kula mema nchi yetu!

Kazi ya chawa ni laana, inamlazimu chawa asifie kila neno hata ikiwa ni upumbavu
 
Aliwatisha maaskari wenzake katika vita ya rushwa (media, civil society, opposition, mitandao na wasomi). Maaskari wenzake wakaufyata. Akabaki peke yake. Rushwa ikamshambulia mpaka nyumbani. Alikosa mtetezi
 
Bonge la dongo.
Mi nilimshangaa sana kuwaweka mbali askari wenzake hao.
Sikujua alikuwa anawafikiliaje hasa wapinzani na vyombo vya habari ambao siku zote kazi yako kkbwa kufichua mauvu serikalini.
 
Aliwatisha maaskari wenzake katika vita ya rushwa (media, civil society, opposition, mitandao na wasomi). Maaskari wenzake wakaufyata. Akabaki peke yake. Rushwa ikamshambulia mpaka nyumbani. Alikosa mtetezi
Mwanafalsafa maneno kuntu haya!
 
Kwa kweli hakuwa malaika ana mabaya yake pia mazuri yake
Lets treasure mazuri yake na mabaya kumsamehe na kumuombea
 
Back
Top Bottom