mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Bonge la dongo.Aliwatisha maaskari wenzake katika vita ya rushwa (media, civil society, opposition, mitandao na wasomi). Maaskari wenzake wakaufyata. Akabaki peke yake. Rushwa ikamshambulia mpaka nyumbani. Alikosa mtetezi
Mwanafalsafa maneno kuntu haya!Aliwatisha maaskari wenzake katika vita ya rushwa (media, civil society, opposition, mitandao na wasomi). Maaskari wenzake wakaufyata. Akabaki peke yake. Rushwa ikamshambulia mpaka nyumbani. Alikosa mtetezi