Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu askofu athibitishe kwanza uraia wake aache uchochezi nchi ikiingia machafuko atakimbilia kwao Uganda
JPM tena 2020
Askofu kama huyu hajitambui, inayompa uhuru wa kuongea hayo ni nini? Aende akatamke hayo anayotamka Uganda, Rwanda na Burundi ndiyo atajua kwamba Tanzania kuna democracy, haki na uhuru.
Kwa Mataga ni vigumu sana kumuelewa huyu Asikofu.Huyu askofu athibitishe kwanza uraia wake aache uchochezi nchi ikiingia machafuko atakimbilia kwao Uganda
😆😆😆😆Huyu askofu athibitishe kwanza uraia wake aache uchochezi nchi ikiingia machafuko atakimbilia kwao Uganda