Pre GE2025 Askofu Bagonza, mbona Lissu anaropoka hutoi maoni yako au unamuogopa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jibu hoja za lisu acha kutikisa makalio, hao ccm na samia wao kama hawataki kusemwa, waachie ngazi! Ikulu sio Mali Yao binafsi, hatuwezi, kumwambia bskheresa aachie ngazi pale Azam, wala hatuangaiki kumsema ile ni Mali yake binafsi, Ila kwa, hawa kenge wanaokusanya Kodi zetu, lazima, tuwape makavu, hawatqki, wakabidhi nchi
 
Akili mavi za kizanzibar hizi! Unazijua kabisa!
 
Kwa vyovyote iwavyo una kitu tunaita low esteem na ukiiendekeza tutakuja kukuletea matunda wodi ya wagonjwa wa akili. Katafute tiba.
 
Hata wewe unaruhusiwa kutoa kwanini Askofu?
 
Vichwa vyao vimejaa maji ubongo wao haujai hata kijiko cha chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…