Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe
HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA
Niwakumbushe?
Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE!
Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini? Kwa sababu sheria iliyomuweka to gerezani miaka 27 bado ipo haijafutwa.
Mbowe ametoka gerezani alimokaa miezi 8. Watu wanashangilia kuwa MBOWE YUKO HURU. Mimi nasema hayuko huru bali YUKO NJE YA GEREZA kwa sababu sheria iliyomshtaki na kumnyima dhamana bado haijafutwa.
Punguzeni mashangilio, boresheni fikra na mikakati ya kuifanya Tanzania kuwa mahali ambapo HAKI inapigana busu na AMANI.
Mbowe pole na hongera
Mama Happy 1 year Anniversary.
TANZANIA IMESHINDA.