Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!"
Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini.
Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania?
Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru!
A fool and his money are soon parted.
CCM kupewa ulinzi wa taifa hili ni sawa na fisi kupewa ulinzi wa duka la nyama!
Halafu tunajiuliza nani kala nyama huku CCM ina damu mdomoni.
Kilaza anapewa madaraka leo, kesho anajua kila kitu!
Halafu sifa zaanza kumiminika, mkombozi kapatikana...kweli!