Watu weusi always ndivo tulivyo ....hta shuleni mtu alikuwa akichaguliwa kuwa monitor au kiranja anabadilika kbsa tabia.You are very right dear. Tanzania mwanasiasa akishapata uteuzi au akichaguliwa basi yeye ana akili kuliko watu wengine wote. Na mbaya zaidi ni kuwa sasa hivi wengi ya watu walioko kwenye madaraka ni ''fools''. Trust me. Wenye akili wote wako benchi, nchi imeshikwa na wajinga. Hawaoni mbele hawaoni nyuma. Kila uteuzi ni heri ya ulifanyika jana. halafu huyu mama ni mweupe pe pe!
Kweli maaana hata huyu mwanamke ana akili kuliko wote tangu AprilWahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!"
Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini.
Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania?
Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru!
A fool and his money are soon parted.
CCM kupewa ulinzi wa taifa hili ni sawa na fisi kupewa ulinzi wa duka la nyama!
Halafu tunajiuliza nani kala nyama huku CCM ina damu mdomoni.
Kilaza anapewa madaraka leo, kesho anajua kila kitu!
Halafu sifa zaanza kumiminika, mkombozi kapatikana...kweli!
Ni kama kudai msingi wa nyumba si kipaumbele, kwanza kuta zipakwe rangi zipendeze!Eti tunashughulikia kwanza maendeleo katiba sio kipaumbele. Kama vile katiba inazuia maendeleo. Hawa wenzetu wanasomea wapi?
[emoji38][emoji38][emoji38]Huyu askofu atunukiwe uprofesa, ana akili Sana.
Eti hata Babu Tale asiyejua kusoma na kuandika baada ya kuwa mbunge amejigeuza kuwa mhandisi wa kujenga daraja la miti
....Kwa kuwa wanatambu kusifu na kuonekana uko mstari wa mbele katika kusifia (hata pasipositahili kusifia) ni kigezo cha kupewa teuzi.Halafu sifa zaanza kumiminika, mkombozi kapatikana...kweli!
Huyo ana Hons ya masijala ngazi ya cheti.Eti tunashughulikia kwanza maendeleo katiba sio kipaumbele. Kama vile katiba inazuia maendeleo. Hawa wenzetu wanasomea wapi?
A fool and her money are soon (2025) parted
π π π π πππππππKweli maaana hata huyu mwanamke ana akili kuliko wote tangu April
Monitor ghafla anaanza kujiona ni sehemu ya ma staff wa shuleπWatu weusi always ndivo tulivyo ....hta shuleni mtu alikuwa akichaguliwa kuwa monitor au kiranja anabadilika kbsa tabia.