Askofu Bagonza: Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu

Muulize yeye mwenyewe Askofu Bagonza baada ya yeye kuchaguliwa kuwa Askofu Kuna mtu mjuaji zaidi yake kule? Tusiende mbali muulize na yeye kasoma nje ya nchi vipi kwa Hilo atutajie Nani mjuaji zaidi yake hapo kwake ambako yeye ni Askofu ?kabla kukubaliana naye kuwa elimu ya Tanzania mbovu

Atutajie mjuaji mmoja tu anayemzidi
 
Mjuaji mmoja anayemzidi Askofu ni mwanasiasa aliyechaguliwa.
 
Huyu askofu atunukiwe uprofesa, ana akili Sana.

Eti hata Babu Tale asiyejua kusoma na kuandika baada ya kuwa mbunge amejigeuza kuwa mhandisi wa kujenga daraja la miti

Nilifika Kayanga Karagwe Nikaambiwa Hapa Kanisa La Bishop Bagonza Lipo

Naye Anaishi Hapa Hapa Karagwe

Nikaangalia Nikasema Hii Bhaghosha

 

 
Baba askofu Mungu atakulinda Tu maana unasema kweli inayoweka watu huru.
Mwaka 2010 Manispaa. ya Sumbawanga ilpata Meya la 4B àlijua kuandika jina lake tu tena Kwa shida. Alipoingia madarakani ghafla akawa Injinia, Mwalimu, Polisi, Daktari na huku akiendelea kuwa mfanyabiashara wa mabucha ya nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…