Sasa wajinga wamejikusanya wapo wengi unategemea nini zaidi ya wao kuendeleza ujinga?Tatizo ni ujinga na ile roho ya shetani! Watu hawajui hata maana ya uwanaharakati. Wanaharakati huwa siyo watu waovu bali huwa ni watu waliojitoa kuyapigania mabadiliko, bila ya kuogopa gharama watakayoilipa.
Hongereni wanaharakati wote mnaoitafuta haki iliyoporwa nchini mwetu, Mungu Baba wa Mbinguni, Mungu wa haki, azidi kuwabariki.