Askofu Bagonza na ukumbusho wa nukuu ya Mwl Nyerere mwaka 1990

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook

"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza

 
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook

"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba.
Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜
 
Dalili ya breaking news kwa siku zijazo na bendera ya Tanzania kupeperushwa nusu mlingoti .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…