Askofu Bagonza (Phd) juu ya anguko la Uchumi Tanzania leo kaandika haya

Kimachozungumziwa hapa ni causal effect. Ikifumgwa Dangote, magazeti yakifungwa, kuna jamii itaumia kwa kukosa ajira na fedha. Tujipange
 
Tatizo akili zetu wabongo zimedumaa tunawaza kulipwa tu, na hiyo serikali iliyoshindwa kutengeneza mazingira mazuri mpaka wawekezaji wanakimbia, nini kitabadilika hiyo miradi ikichukuliwa na wafanyakazi?

Nao watakaa miezi miwili kazini wakimbie vile vile.
 
I
Inafikirisha zaidi namna bora ya kufikiria.Watu kama hawa wangekuwa wanapewa fursa hata kwa siri ili kutoa mawazo yao namana ya kutatua changamoto za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…