Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe ameandika haya katika mtandao wa FaceBook
NASIKIA WAJALUO WANASUBIRI..
Iko hivi:
Siwezi kusema kuwa NI NZURI au ni MBAYA maana siyo yetu. Yeye kasema ni ya kwake.
Msimsumbue.
Nasubiri ya kwetu.
Msinisumbue tena nyie Wajaluo. Babu yenu aliwahi kuwausia hivi, “Mtoto wa Ng’ombe huzaliwa akiwa na masikio; pembe huota baadaye”.
HAPPY UNION DAY.
Soma

Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership ya ripoti hii, ni ripoti ya Rais. Nilisema tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa kimyakimya, mimi nimeamua tuambizane, lakini ripoti ni mali ya Rais."
- Waufukweni
- ripoti ya jaji chande samia suluhu hassan vifo maandamano tanzania
- Replies: 55
- Forum: Jukwaa la Siasa