Askofu Bagonza tafuta miafaka ndani ya KKKT kabla ya kuingilia masuala ya siasa

tukikubaliana kuwa dini inayotumia silaha ktk huduma zake haifai kuitwa dini tutaelewana. dini hailazimishi, inashauri tu. ukishauriwa una haki ya kukataa au kukubali. kulazimishana hakuna.

ktk ukristo kuna Amri 10 zinazoitwa za Musa:

Usizini, usiue, usiibe, usiseme uongo, usitamani vya wenzako ...nk.
ktk enzi zetu, wanaosimamia haya kiroho, ni viongozi wa dini, kimwili ni viongozi wa kisiasa na ziko taratibu za kusimamia masuala yote hayo.

Ukikuta mahali viongozi wa kiroho wameingia ktk siasa bila kukemewa na asasi yao ujue imewaruhusu, hususan kutokana na mazingira halisi - km. marehemu Desmond Tutu wa South Africa. hivyo wkt tunahukumu viongozi wa kidini inabidi pia kuangalia mazingira husika. tegemea wkt wwt kuwapata viongozi hao wa kiroho wakijitokeza unapoona haki za binadamu zimekiukwa.

Pale unapokuta hawasemi kitu wanapoona viongozi wa nchi, wanatesa, wanavunja miiko (katiba) au kuachia haki za binadamu kuvujwa, ujue ni viongozi maslahi. na pia, hata pale wenyewe wanapovunja za kwao, wasiposhughulikiana, jua hawatimizi sheria. tuwahukumu kwa hayo.

Ukifuatilia, utakuta karibu sheria zote duniani zinatokana na hizo amri za Musa, hivyo zinapovunjwa na viongozi wa nchi, kama binadamu, viongozi wote wa kiroho waliokamilika, wanaguswa na kwa wale jasiri hujitokeza na hao ndio wanaowakera mashabiki wa vyama. na kama ilivyo kwao, mashabiki wa vyama waache kuhukumu ya kidini. wajue tu, kuna viongozi tumbo na viongozi wema potepote na wajifunze kuwatofautisha inavostahili.

Kama waTz, mnaonaje tukishabikia zaidi ujio wa Katiba Mpya badala ya haya mambo ya mashindano ya vyama kwanza
 
Inashangaza kuona kiongozi wa dini ambaye ni muasisi wa mgogoro uliopo ndani ya kanisa la KKKT katika jimbo la Konde.

Ambapo ya baada Askofu Dk Edward Mwaikali wa Jimbo la Konde kuondolewa katika nafasi yake na uongozi wa kanisa hilo kutokana na sababu za kiutendaji, Askofu Bagonza aliifanya kuwa anaingilia suala hilo kwa lengo la kulisuluhisha huku nyuma ya pazia akiandaa njama chafu kwa kushirikiana na Askofu Mwaikali ya kuyapoka/kuyagawa baadhi ya majimbo ya kanisa hilo ili kuleta mpasuko na migogoro zaidi ndani ya Kanisa la KKKT.

Hivyo ni jambo la ajabu na kustaajabisha kuona muasisi wa mgororo ndani ya Taasisi ya kiroho kupaza sauti bila haya usoni kutaka Miafaka katika masuala siasa chini.

Askofu Bagonza nakukumbusha mstari huu wa biblia;

Mathayo 7:5

Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.

Na Yothan Mwakipesile
Rungwe-Mbeya.
Wewe ni miongoni mwa wapuuzi mliojazwa hapo Lumumba kuziba midomo ya wenye akili. Kama mnaona anawakera kampigeni risasi kama wale wegine.
 
Bagonza na Shoo wamegeuza makanisa kuwa maduka yao binafsi ya kupiga Hela, pia wamegeuza makanisa kuwa Ofisi za Chadema na kufanyia udalali wa kisiasa.

Wanakopa fedha benki kwa dhamana ya kanisa Kisha wanawapa fedha hizo Chadema, ndicho kilichotokea Konde, sehemu nyingine zitalipuka taratibu.

Mwaikali kawagomea maana anawajua, walitaka kuuza hoteli ya matema beach, Mali ya kanisa Kisha wainunue kwa mgongo wa nyuma iwe yao, walishaandaa mpaka wateja
Moderators, comments mufilisi kama hizi hamzioni? Mbona yahoo huwa wanaondoa comments za kipumbavu kama hii? Jitu linaibuka huko na mahaba yake ya chama linakuja kuchochea migogoro dhidi ya viongozi wa kanisa. Halafu imejitokeza kasumba, kila anayeongelea haki anahusishwa na chadema. Basi chadema ni chama bora kabisa.
 
Wajinga kama ninyi mnafikiri hivyo.
Bagonza ana tuhuma nyingi za tamaa za mali, vyeo na hata mwilini kwa kuwa na watoti wa nje.
Hili la kumpa sapoti uasi wa Mwaikali kaingia choo cha kike.
Kwani Shoo pamoja na sigara na pombe kwenu ni mtakatifu? Malasusa si alikuwa na kashfa ya uhusiano wa kimapenzi na Leticia Ngowi, mke wa mtu na nyie leo bado kwenu ni mtakatifu.

Desmond Tutu alipata heshima kwa kutetea haki zilipokiukwa
Kwani yeye Bagonza haatthiriki na maamuzi ya ovyo ya wanasiasa?
LIttle knowledge is dangerous
 
Kwani Shoo pamoja na sigara na pombe kwenu ni mtakatifu? Malasusa si alikuwa na kashfa ya uhusiano wa kimapenzi na Leticia Ngowi, mke wa mtu na nyie leo bado kwenu ni mtakatifu.

Tuhuma hapa ni za mnafiki Bagonza.
Ukiwa na za Shoo na Malasusa anzisha thread yako na ushahidi.
Usipake wengine matope kwa unafiki na uovu uliokujaa moyoni kama Bagonza.
 
Shida watu hata ukiongea +ve kiasi,,, wao watakushambulia tu binafsi... Wala hata hawatazingatia ulichosema.....utafikiri ubaya wako ndio utafanya yao yawe mazuri...

Wanafiki wapo kama nzi,, hutazama tu palipo na ubovu.
 
Inashangaza kuona kiongozi wa dini ambaye ni muasisi wa mgogoro uliopo ndani ya kanisa la KKKT katika jimbo la Konde.

Ambapo ya baada Askofu Dk Edward Mwaikali wa Jimbo la Konde kuondolewa katika nafasi yake na uongozi wa kanisa hilo kutokana na sababu za kiutendaji, Askofu Bagonza aliifanya kuwa anaingilia suala hilo kwa lengo la kulisuluhisha huku nyuma ya pazia akiandaa njama chafu kwa kushirikiana na Askofu Mwaikali ya kuyapoka/kuyagawa baadhi ya majimbo ya kanisa hilo ili kuleta mpasuko na migogoro zaidi ndani ya Kanisa la KKKT.

Hivyo ni jambo la ajabu na kustaajabisha kuona muasisi wa mgororo ndani ya Taasisi ya kiroho kupaza sauti bila haya usoni kutaka Miafaka katika masuala siasa chini.

Askofu Bagonza nakukumbusha mstari huu wa biblia;

Mathayo 7:5

Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.

Na Yothan Mwakipesile
Rungwe-Mbeya.
Mababa askofu Shoo na Bagonza walipaswa kupewa tuzo ya unafiki na usanii uliotukuka pamoja na akina zuku
 
Mbona mtu akiwa wa kuongea ukweli hamuishi kumuandama? Mara sio raia, mara anachochea migogoro... acheni uoga
 
Moderators, comments mufilisi kama hizi hamzioni? Mbona yahoo huwa wanaondoa comments za kipumbavu kama hii? Jitu linaibuka huko na mahaba yake ya chama linakuja kuchochea migogoro dhidi ya viongozi wa kanisa. Halafu imejitokeza kasumba, kila anayeongelea haki anahusishwa na chadema. Basi chadema ni chama bora kabisa.
Huna unachojua, zero kabisa
 
Huna unachojua, zero kabisa
Zero ni wewe unayeweka tumbo mbele badala ya ukweli. Kinachokuuma ni hao watumishi kuongea ukweli. Huna tofauti na mafarisayo na masadukayo wa kiyahudi waliokuwa wakimpinga Yesu sababu tu ya faida ya matumbo waliyoipata kwa watawala wa kiyahudi. Acha viongozi wa dini wakemee visivyohaki kwani hata Yesu alifanya hivyo. Umeweka siasa mbele mno mpaka unawapangia viongozi cha kusema. Ushindwe!
 
Inashangaza kuona kiongozi wa dini ambaye ni muasisi wa mgogoro uliopo ndani ya kanisa la KKKT katika jimbo la Konde.

Ambapo ya baada Askofu Dk Edward Mwaikali wa Jimbo la Konde kuondolewa katika nafasi yake na uongozi wa kanisa hilo kutokana na sababu za kiutendaji, Askofu Bagonza aliifanya kuwa anaingilia suala hilo kwa lengo la kulisuluhisha huku nyuma ya pazia akiandaa njama chafu kwa kushirikiana na Askofu Mwaikali ya kuyapoka/kuyagawa baadhi ya majimbo ya kanisa hilo ili kuleta mpasuko na migogoro zaidi ndani ya Kanisa la KKKT.

Hivyo ni jambo la ajabu na kustaajabisha kuona muasisi wa mgororo ndani ya Taasisi ya kiroho kupaza sauti bila haya usoni kutaka Miafaka katika masuala siasa chini.

Askofu Bagonza nakukumbusha mstari huu wa biblia;

Mathayo 7:5

Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.

Na Yothan Mwakipesile
Rungwe-Mbeya.
Kwani Askofu Bagonza anaongoza hiyo dayosisi?
 
Back
Top Bottom