Askofu Bagonza: Tuna muhimili mmoja unaopakwa rangi

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda.
V
Kuna kitu hakiko sawa.
 
Achana na waropokaji wewe kazi ya askofu ni kuvuna kondoo wa Bwana kuwapeleka Kwa muumba wao na sio kuimarisha ufalme wa kidunia , askofu wa hovyo Sana
 
Utakufa usiku kwa laana ya askofu
 
Achana na waropokaji wewe kazi ya askofu ni kuvuna kondoo wa Bwana kuwapeleka Kwa muumba wao na sio kuimarisha ufalme wa kidunia , askofu wa hovyo Sana
Je vipi slow
 
Hivyo vitu lazima viendane ww
 
Punguza kasiriko babu!!
Achana na waropokaji wewe kazi ya askofu ni kuvuna kondoo wa Bwana kuwapeleka Kwa muumba wao na sio kuimarisha ufalme wa kidunia , askofu wa hovyo Sana
 
Attachments

  • insta_23_20211203_005533.mp4
    537.3 KB
Achana na waropokaji wewe kazi ya askofu ni kuvuna kondoo wa Bwana kuwapeleka Kwa muumba wao na sio kuimarisha ufalme wa kidunia , askofu wa hovyo Sana
Naona jiti la muhogo limeingia kunako
 
Hitaji la Katiba Bora ni la Watanzania wote, Kuna siku sio mbali tutaimba wimbo pamoja.
 
Ok, nimemuelewa Askofu, kwa sasa wacha mapambio yaendelee.
 
Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda.
V
Kuna kitu hakiko sawa.
Welcome home Kamarade
1641378676851.png
 
Back
Top Bottom