Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

Ujinga wako upo kwenye namba ngapi nikusaidie?......
 
Bila ujinga kusingekuwa na werevu, waache wajinga wawepo ili wajulikane werevu ndo principle ya maisha
 
Hili ni andiko bora kabisa kwa wakati huu, najuwa wale nzi wa kijani, wachumia tumbo, wasakatonge, wagonga meza wa idodomya mjengoni watakuja kupingana nae
 
Dr Bagonza yupo sawa sana maana kwa Tozo zinazolipwa harafu wahuni wanaiba tu kila kukicha na Wajinga wapo kimya...
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…