Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

H
Anaandika Askofu Bagonza

Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:

1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.

NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
ongera
Nakupongeza sana Baba Askofu kwa ANDIKO NCHI HII WAJINGA NI WENGI KULIKO WENYE AKILI
 
Yeye akiwa ni mmojawapo wa wanufaika wa hao wajinga, msiomjua ndo mnamsifiaga ila nae ndo walewale waliokunywa uji wa mgonjwa,
 
Anaandika Askofu Bagonza

Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:

1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.

NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
NI ukweli mtupu, too bad Magufuli ametangulia mbele ya haki huku akituonea huruma wananchi wake.
 
"Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga"
Asante kwa neno kuntu
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Inasikitisha sana saivi kina mzee wa upako wanapigia chapuo Pombe kitu ambacho ni kinyume kabisa na mafundisho matakatifu
 
Waganga wajanja wajanja wanahitaji wajinga wanaoamini kuna uchawi ili wawapige hela
 
Sasa kaka yake shetani kwako si ndio safi?
 
Wajinga ndio wanaokubali Mungu kagawanyika sehemu tatu, baba mwana na roho mtakatifu. Huyo askofu nae ni mmoja wapo. Ukristu ni biashara bado watu wanaendelea na hiyo biashara badala ya kumtafuta Mungu wa kweli ambae anapatikana kwa kutumia imani yetu ya jadi.
 
Tulizoea kusema ujinga ni mzigo lakini kwa sasa ujinga ni mtaji wa makundi mbalimbali :-

1. Viongozi wa dini wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

2. Wanasiasa wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

3. Waganga wa kienyeji wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

4. Walimu wanahitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

6. Wahisani na wafadhili wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

7. Serikali inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

8. Matapeli wa mitandaoni wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

9. Wafanya biashara wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

10. Umaskini na maradhi wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.

NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii.
 
Back
Top Bottom