Askofu Bagonza: Ukuu wa Katiba VS Ukuu wa Rais

Askofu Bagonza: Ukuu wa Katiba VS Ukuu wa Rais

Wanaodhani Watanzania tuna elimu waanze kujifunza kutokana na comments kama hizi! Ukiwa na watu wengi kama hawa hata mjadala wa Katiba inabidi tuache kwanza twende shule sambamba na kuanzisha chekechea ya watu wazima?
Unamanisha nini😅😅
 
huyu askofu naye limbukeni tu, hana lolote..!!! cjui kwanini mpaka sahv hajavuliwa hicho cheo cha uaskofu... badala ya kuwa kuhani wa kanisa kawa kuhani wa siasa... big shame
Sometimes kwenye fact tusipinge ili kuwakomoa CHADEMA tuangalie mustakabali wa Taifa letu miaka mingi ijayo litakua wapi.
 
Back
Top Bottom