The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama tuhubiri ama tusihubiri" Askofu Benson Bagonza kwenye Sinodi ya Dayosisi - DKMG