Askofu Bagonza: Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama tuhubiri ama tusihubiri" Askofu Benson Bagonza kwenye Sinodi ya Dayosisi - DKMG
Your browser is not able to display this video.
 
Viongozi wa dini,
Viongozi wa siasa,
Wanaharakati,

Hawa wote ni wa kuogopwa
 
Jiwe limerushwa kizani.. .. ukisikia kelele(ukulele) mingi ujuwe lishamjeruhi mtu.. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…