Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ameandika Askofu Bagonza na moja ya nukuu nzuri sana kwa watawala uwafikie hiyo
==============
Upofu na ukiziwi ukimpata mtawala, mahabusu na magereza hugeuka vyuo vikuu vya mabadiliko katika nchi
Hapajawahi kutokea mfungwa wa kisiasa aliyerudi toka gerezani akamnyenyekea mtawala aliyemuweka. Hata Mandela alisamehe lakini hakuabudu aliyotendewa gerezani. Nipe ushahidi wa mfungwa wa kisiasa mnyenyekevu?