Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nashauri huyu Askofu afanyiwe uchunguzi wa uraia wake kama Askofu Kakobe na Baba Askofu Severino Niwemugizi!, bila kumfanyia hivi, atamkosesha sana usingizi mtu wetu, kumuita mtu wetu ana upofu na uziwi!, au Kanisa lake lifungiwe kidogo kama la Gwajima?, ili mtu wetu apate usingizi mnono wa amani bila hizi kelele?.Ameandika Askofu Bagonza na moja ya nukuu nzuri sana kwa watawala uwafikie hiyo
==============
Upofu na ukiziwi ukimpata mtawala, mahabusu na magereza hugeuka vyuo vikuu vya mabadiliko katika nchi
Nashauri huyu Askofu afanyiwe uchunguzi wa uraia wake kama Askofu Kakobe na Baba Askofu Severino Niwemugizi!, bila kumfanyia hivi, atamkosesha sana usingizi mtu wetu..
P
Anayeweka serikali zote za mataifa yote ni mmoja tuu YEYE!, hivyo kama ni YEYE aliyetuwekea mtu huyu, then mtu huyu ndiye chaguo la YEYE kwa Tanzania, hivyo ni mtu wetu sisi wote, uwe ulimchagua, hukumchagua, au hata hukupiga kura kumchagua, maadam mshindi aliyetangazwa ni yeye, then ni mtu wetu sisi wote! GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!Pascal, hapo hututendei haki. Sema mtu wako, siyo mtu wetu. Muuaji aliyeua maelfu ya ndugu zetu anawezaje kuwa mtu wetu?
Binadamu wote huumbwa na Mungu ni watu wa Mungu, ila wanaweza kumuasi Mungu na kumtumikia shetani, lakini bado ni watu wa Mungu kwasababu ni Mungu tuu pekee ndiye muumba, watu wote, hata wanaofanya ushetani bado ni watu wa Mungu wanamtumikia shetani. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetaniHuyo ni mtu wa shetani.
Kumchongea raia mwenzako kwa mamlaka sio jambo jemaNashauri huyu Askofu afanyiwe uchunguzi wa uraia wake kama Askofu Kakobe na Baba Askofu Severino Niwemugizi!, bila kumfanyia hivi, atamkosesha sana usingizi mtu wetu..
P
Ndiyo kusema wewe siyo muumini wa uhuru wa kutoa maoni?Nashauri huyu Askofu afanyiwe uchunguzi wa uraia wake kama Askofu Kakobe na Baba Askofu Severino Niwemugizi!, bila kumfanyia hivi, atamkosesha sana usingizi mtu wetu..
P
Unanikumbusha ulivyomsaliti Kabendera! Utajisikia furaha haya uliyapendekeza yakizaa matunda siyo? Snitch wa kwenda!Nashauri huyu Askofu afanyiwe uchunguzi wa uraia wake kama Askofu Kakobe na Baba Askofu Severino Niwemugizi!, bila kumfanyia hivi, atamkosesha sana usingizi mtu wetu, kumuita mtu wetu ana upofu na uziwi!, au Kanisa lake lifungiwe kidogo kama la Gwajima?, ili mtu wetu apate usingizi mnono wa amani bila hizi kelele?.
P