Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya waliopotea."
Soma > Askofu Dkt. Bagonza: Tusipochukua hatua, tunaelekea kubaya
VIDEO: Jambo TV
Soma > Askofu Dkt. Bagonza: Tusipochukua hatua, tunaelekea kubaya
VIDEO: Jambo TV