Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha


Huelewi kwamba Tanzania ni moja Kati ya nchi tatu duniani ambao wananchi wake hawana furaha?
 


Tena nasema PhD za makanisa ni kubwa kuliko ile PhD iliyompoteza Ben Sanane... mbaya zaidi kaongezea nyingine
 
Sijaona popote alipoandika Nchi nzima!! Au mwenzetu unabandiko lako!?
Amesema wapinzani hawana furaha kwani wapinzani si wako nchi nzima waliopita bila kupinga wako nchi nzima no angeongelea labda wa karagwe na atoe takwimu pia kasema wapiga kura hawana furaha .Wapiga kura wako nchi nzima .Wewe ndio hujui kusoma Kama una digrii na wewe ni feki
 
Huelewi kwamba Tanzania ni moja Kati ya nchi tatu duniani ambao wananchi wake hawana furaha?
Letee takwimu na Nani alifanya huo utafiti na vigezo alivyotumia na maeneo aliyotanyia utafiti.Weka hapa source reliable yenye mchanganuo wa kufikia hiyo conclussion
 
Lete sababu kiongozi
Furaha ni hali tuliyoumbiwa na Mola mkuu, Askofu au Shekhe hawawezi kutupa hiyo hali ila kutupa mafundisho ya kuichochoea hiyo furaha baada ya kuipoteza kwa mambo kama uchaguzi wa kibabe, ugomvi maana nao huondoa furaha, maradhi nayo pia huondoa furaha nk.

Sasa huyu Askofu kasema ukweli wa hali ilivyo maana ndivyo ilivyo kwa sasa, Tumshauri tu kwa sasa atupe mafundisho zaidi ya kutupa moyo kuliko kusema tu na kuacha mambo kama yalivyo maana haitasaidia kitu kulingana na nafasi yake katika Jamii.
 
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha

Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo

Furaha nchi hii imeondolewa na jiwe, na hii ni kwakuwa yeye na familia yake hawana furaha, sasa kahamishia hilo roho mpaka kwenye nchi.
 
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha

Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Acha Kujitoa ufahamu maelezo ya baba askofu ni kweli tupu, sema wewe na anayekulipa mtandaoni hampendi kuambiwa ukweli Pimbi kweli wewe.
 
Kilaza wa lumumba, What the hell is Veriafiable?

Ulienda kukua ma.k.a.l.i.o shuleni.
 
Pengo na Sheikh Alhad Musa hawawatoshi kuwalamba makalio? Huyo askofu PhD hawezi kufanya upuuzi wenu wa kusifu na kuabudu.
Askofu Bagonza ni mtu wa watu kaamua kusimama na watu sio shetani.
 
Utafiti huo Ni wa mwaka gani ? Askofu Bagonza anaongelea current situation ambayo haikuweko kwenye hiyo takwimu yako ya kuokoteza Mitandaoni ya nchi zisizo na furaha.Askofu aweke takwimu kuotendea haki hiyo PhD yake hata Kama ni ya kitapeli
 
Askofu boganza amekuwa mtu wa kupigania Tumbo lake

Anaongea mihemuko ya kisiasa akasahau kuhudumia wakristo wanaomlipa mshahara
Pia anasahau matumizi ya Takwimu Kama PhD holder anajiongelea tu
 
Ya Bagonza ikiwa feki na ya korosho itakuwaje ambayo ilipeleka jeshi kununua korosho na wote tunajua kilichotokea. Alichokizungumza Bagonza ni ukweli mtupu, One does not have to be a genius to understand this.
 
Mimi nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli mtupu licha ya mwenye maguvu yote kuwatisha wote wanaomkosoa, Mungu awe pamoja nae.
 
"Waliopanga yaliyotokea hawana furaha, Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha. Walioshauri hekima hawana furaha. Waliokaa kimya hawana furaha, Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha. Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha"
 
Yaani kila uzi ukosekani, ni kama majani ya chai kwenye maduka ya rejareja.
Unacho-comment sasa, shetani ndiye anajua.
Tena anakuwa wa kwanza. Mimi nafikiri huyu yumo humu kwa kazi moja tu. Aliyotumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…