Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Anakuwa kama yule Dr Shoo, kila kukicha manung'uniko na vijembe vingi. Uzuri ni kwamba JPM ana msimamo huwezi myumbisha kijinga tu.
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Hizo ni philosophical argument mzee inahitaji akili kubwa
 
Uliyo andika yanaonyesha fika kua hata wewe huna furaha, ya kweli.
 
PhD za viongozi wa makanisa huwa nyingi haziheshimiki ba sababu inayosababisha na watu wenye PhD za makanisani Kama akina Bagonza.Ukikutana na mtu mwenye PhD wa fani zisizo za makanisani anaongea kwa takwimu na evidence verifiable.Hizi PhD za viongozi wa makanisa nyingi Ni za urembo tu za kutundika ukutani .Wanaozitoa wanavipa vichwa vitupu.Wanavalisha kofia ya PhD kwenye kichwa kitupu kisicho na kitu kwenye ubongo
Mkuu kwa sura hii hii,bila kujali ulichokiongea ni kweli ama laa. Naomba unipe tathmini ya PhD ya 'mkulu' huku ukihusianisha na matamko,hatua na miongozo anayoitoa kila siku kwenye uwajibikaji wake,na mwisho uhitimishe kama PhD yake inajidhihiri ndani yake ama?
 
Jiwe gizani.

Sisi PhD yake haituhusu tunaangalia kile anachokisema je kina ukweli?

Yule sio Pengo wala Nyaisonga.
Kweli kuna maaskofu mfano wa Pengo na Nyaisonga bila kuisifia Serikali ni kama wanashinda njaa, ila huyu kusema ukweli tu anaonekana kana kwamba ana PhD feki, kweli Watanzania wengi ni wafuata mkumbo tu. ukweli ni kwamba karibu wooote hatuna FURAHA ya kweli.
 
Kajifungue basi kama umenuna
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
 
Mkuu kwa sura hii hii,bila kujali ulichokiongea ni kweli ama laa. Naomba unipe tathmini ya PhD ya 'mkulu' huku ukihusianisha na matamko,hatua na miongozo anayoitoa kila siku kwenye uwajibikaji wake,na mwisho uhitimishe kama PhD yake inajidhihiri ndani yake ama?
Sipingani nawa mkuu ila ukweli ni kwamba Phd ya jiwe inaonekana kiasi kwenye utendaji, ila linapokuja suala la matamko yake yaani ni borea angekaa tu numbani wakatu mwingine kuificha aibu yake binafsi au anayo wasababishia wengine kwa kutokua na simile kwa baadhi ya mambo. Hua anaropoka sana hadi inaharibu ile level aliyonayo.
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Sijaona popote alipoandika Nchi nzima!! Au mwenzetu unabandiko lako!?
 
Ukiona kiongozi wa kiroho ana mawazo yanamna hii hapo tambua hakuna kitu,maana mwenye wajibu wakuiamuru furaha ikae ni yeye
 
PhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
Bila shaka yehodaya huna furaha[emoji1787]

Hata Mimi Sina furaha kwakweli
 
Back
Top Bottom