Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Anakuwa kama yule Dr Shoo, kila kukicha manung'uniko na vijembe vingi. Uzuri ni kwamba JPM ana msimamo huwezi myumbisha kijinga tu.Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable