Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo.
Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba.
UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia walifanya hiyo shughuli lakini hakuna waliokamatwa wala kupigwa mabomu.
Yaani watawala wanaiogopa CHADEMA kama ukoma.
Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Chama tawala mnakuwaje na hofu na Chama Chama upinzani?