CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Naona mumeo alivyouchomoa tu umekuja humu haya chukua kopo nenda katoe janaba hilo . Kwaheri.Unayajua baada ya mimi kukwambia,kabla ya hapo si ulisema kua "Mara ngapi Ponda anaongea na hajakamatwa"
Hilo neno mara ngapi lina maanisha muda mwingi tu au kila mara tu,baada ya kukwambia kua kisha kamatwa mara kibao tu,tena alishakula chuma,
Sasa hivi ndio unajifanya eti "Naongelea sasa na sio zamani" siku nyingine acha kukurupuka kichwa panzi wewe.