Hayo ni mawazo yako, Sheikh Ponda mara ngapi anayoosha maelezo kama alivyonyoosha huyu mbona hajakamatwa? Watu modeli yako ndiyo wanaipa kichwa CCM kuwagawa watu ili watawale kiulaini.Ingekua ni Shehe,basi sasa hivi tayari angekua yupo kwenye mikono salama.
Wanaogopa na elimu yake ana PhD sio MEMKWA huyo.Ingekua ni Shehe,basi sasa hivi tayari angekua yupo kwenye mikono salama.
Kwahiyo ukiwa na kiwango fulani cha elimu,basi unakua unaogopwa na mamlaka? Hiyo comment umeiandika ukiwa usingizini au umelewa?Wanaogopa na elimu yake ana PhD sio MEMKWA huyo.
Ngoja wamtekeAskofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo.
Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba.
UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia walifanya hiyo shughuli lakini hakuna waliokamatwa wala kupigwa mabomu.
Yaani watawala wanaiogopa CHADEMA kama ukoma.
Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Chama tawala mnakuwaje na hofu na Chama Chama upinzani?
Ndio hasa kwenye eneo la uhuru wa kujieleza.Kwahiyo ukiwa na kiwango fulani cha elimu,basi unakua unaogopwa na mamlaka? Hiyo comment umeiandika ukiwa usingizini au umelewa?
Hayo ni mawazo yako, Sheikh Ponda mara ngapi anayoosha maelezo kama alivyonyoosha huyu mbona hajakamatwa? Watu modeli yako ndiyo wanaipa kichwa CCM kuwagawa watu ili watawale kiulaini.
Ndio hasa kwenye eneo la uhuru wa kujieleza.
Akifanya makosa mengine huwa hakuna tofauti kati ya msomi na MEMKWA.
Ongea wewe kama alivyoongea Bangonza mbele ya media uone mkeo atakavyo kuletea chai lockup
Sina mume nina mke vipi unataka uwe mke wa pili?Kwahiyo wewe kwa vile huna elimu,siku ukiongea mbele ya media,mumeo atakuletea chai lockup? Ndio freedom of speech ipo hivyo?
Hayo ya zamani tunaongelea sasa wewe bwege unayeendekeza udiniUnaishi kijiji gani wewe? Ponda ni mara ngapi kawekwa ndani? Wakati anapigwa chuma ulikua hujazaliwa?
Halafu tambua kwamba,comment yangu haipo kisiasa,sibishani mambo ya siasa hapa.
Comment yako ilikaa kike kike sana,kama ni wa kiume basi kuna jambo halipo sawa kwako,jaribu kujichunguza ili utatue hilo tatizo kwanza,kisha njoo kwenye mjadala.Sina mume nina mke vipi unataka uwe mke wa pili?
Acha ligi za kindezi kwenye comment za wanaume.
Huna maswali ila una upuuzi tu, Sheikh Ponda hata kwenye kampeni za Chadema tulikuwa naye hana mawazo mgando kama yako kafie mbele na upuuzi wako.
Nakucheka tu kwa daharauu. Hayo yote nayajua mimi nazungumzia kwa wakati tulio nao.Wewe Panzi si ulisema Ponda hajawahi kukamatwa? Baada ya kukupa habari kua amekamatwa mara kibao tu na alishakula chuma,ndio unakuja kutingisha kalio zako hapa kwa hoja mfu? Wewe kafie nyuma coz mambo yako hua ni nyuma nyuma tu.
Unayajua baada ya mimi kukwambia,kabla ya hapo si ulisema kua "Mara ngapi Ponda anaongea na hajakamatwa"Nakucheka tu kwa daharauu. Hayo yote nayajua mimi nazungumzia kwa wakati tulio nao.